Yayi boni biography examples
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) akimlaki kwa furaha Rais wa Benin na Mwenyekiti wa sasa wa Umoja wa Afrika, Mhe. Thomas Boni Yayi mara baada ya Rais huyo kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam tarehe 15 Januari kwa ziara ya kikazi ya siku mbili.